Kambi Maalum ya Bure ya Upasuaji wa Kurekebisha Viungo – Tosamaganga Hospital
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tosamaganga, chini ya Jimbo Katoliki la Iringa, kwa kushirikiana na taasisi ya ArcheMed (Ujerumani), inayo furaha kuwatangazia wananchi wote uwepo wa kambi maalum ya bure ya upasuaji wa kurekebisha viungo, itakayofanyika kuanzia tarehe 15 Februari hadi 28 Februari 2026. Lengo la Kambi Lengo kuu la kambi hii ni kutoa…
