Mabadiliko ya Ratiba juu ya uzinduzi wa Idara ya Mionzi uliotakiwa kufanyika Tarehe 13/02/2024
![](https://www.tosamagangahospital.or.tz/wp-content/uploads/2024/02/IMG-20240211-WA0025-1024x1024.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezipongeza Taasisi za kidini ikiwemo kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa Wananchi. Waziri mkuu amesema kuwa kitendo cha Kanisa katoliki kufanya maboresho makubwa ya vifaa vya kisasa ikiwemo CT-Scan na huduma za kibingwa ndani ya hospitali, kinaifanya hospitahi ya Tosamaganga kupanda hadhi na…
Pichani ni Mtaalamu wa CT- SCAN Sr. Astrida akitoa maelezo mbele ya kamati ya siasa ya Mkoa wa Iringa Ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kwanza upande wa kushoto Ndugu Daud Yassin akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Halima Dendego wa pili kutoka upande wa kushoto na viongozi wengine walipotembelea Hospitali…
Maboresho hayo makubwa yanafanywa kwa kutumia mapato ya ndani lakini pia jengo la I.C.U linajengwa kwa Michango iliyopatikana kwa Mbio za hisani za kuchangia I.C.U zilizofanyika tarehe 22 mwezi Jun mwaka 2023. hata hivyo bado kuna uhitaji wa wadau wa Afya na mashirika mbalimbali kuombwa kuchangia ujenzi wa I.C.U kwani bado hatujafikia Malengo.