Salamu ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kutoka Tosamaganga Regional Referral Hospital
Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani, uongozi wa Tosamaganga Regional Referral Hospital (TRRH) unapenda kutoa salamu za dhati kwa wafanyakazi wote wanaojitolea kila siku kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa jamii. Wafanyakazi wa…
Balozi wa Italia Afanya Ziara Tosamaganga Regional Referral Hospital, Aahidi Kuimarisha Ushirikiano
Tosamaganga Regional Referral Hospital (TRRH) imepokea kwa heshima kubwa ziara ya Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mheshimiwa Giuseppe Sean Coppola, aliyefika hospitalini hapo kwa lengo la kujionea huduma za afya zinazotolewa na kuzindua rasmi mradi wa…
Kambi Maalum ya Bure ya Upasuaji wa Kurekebisha Viungo – Tosamaganga Hospital
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tosamaganga, chini ya Jimbo Katoliki la Iringa, kwa kushirikiana na taasisi ya ArcheMed (Ujerumani), inayo furaha kuwatangazia wananchi wote uwepo wa kambi maalum ya bure ya upasuaji wa kurekebisha viungo, itakayofanyika…
Ujenzi Wa Jengo Jipya La Mama Na Mtoto Waendelea Kwa Kasi Tosamaganga Regional Referral Hospital – Iringa
Tosamaganga Regional Referral Hospital inaendelea kutekeleza dhamira yake ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia ujenzi wa Jengo jipya la Mama na Mtoto, mradi mkubwa na wa kimkakati unaolenga kuinua ustawi wa afya ya wanawake na watoto katika…
Vacancy Announcement
Click Here to Download the Job Application / Bofya Hapa kupakua tangazo la kazi; Mawasiliano zaidi +255757716995
Uwepo wa Madaktari bingwa kutoka ujerumani
Mkurugenzi mkuu wa Hospitali ya Rufaa ngazi ya mkoa Tosamaganga, anawaalika wananchi wote wa ndani na nje ya Mkoa wa iringa siku ya Tarehe 27 Mwezi wa Tisa katika kambi ya upasuaji wa madaktari bingwa wa kurekebisha viungo kutoka Ujerumani. Kambi hii ni…