Salamu ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kutoka Tosamaganga Regional Referral Hospital
Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani, uongozi wa Tosamaganga Regional Referral Hospital (TRRH) unapenda kutoa salamu za dhati kwa wafanyakazi wote wanaojitolea kila siku kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa jamii. Wafanyakazi wa hospitali yetu ndio nguzo kuu ya mafanikio yetu. Kupitia kujituma, weledi, na moyo wa huduma, mmeendelea kuleta matumaini kwa wagonjwa na…
