Tangazo la nafasi za kazi
Download tangazo hapa
Download tangazo hapa
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Tosamaganga anawatangazia waombaji wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 22 Aprili 2023 siku ya Jumamosi kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa Hospitali.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Tosamaganga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa ili kujaza nafasi zilizo orodheshwa katika tangazo hili.
We deliver quality through deep specialization and innovation. We hire people who share our values, maintain strong relationship and bring idea to the table