Ujio wa madaktari bingwa hospital ya Tosamaganga

Uongozi wa Hospitali ya Tosamaganga Unawataarifu Wakazi wa mkoa wa Iringa na Watanzania wote kwa ujumla kuwa Kutakua na Ujio wa Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kurekebisha Viungo Kutoka Ujerumani , Watakuepo Hospitali ya Tosamaganga Kuanzia Tarehe 17-27 Mwezi wa 10-2023 Wote Mnakaribishwa kupata Matibabu ya Kibingwa bure.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *