Uzinduzi wa Jengo la Dharura Hospitali ya Tosamaganga

Hafla ya Uzinduzi wa jengo la Idara ya dharula Tosamaganga hospitali lililo zinduliwa na Muhashamu Baba Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa wa jimbo la Iringa iliyofanyika mnano tarehe 12/5/2023.

Pichani ni Muhashamu Baba Askofu wa Jimbo la Iringa Tarcisius J.M .Ngalalekumtwa akilibariki jengo hilo.
Wanakwaya ,Watumishi na Wageni waalikwa wakiwa katika Hafla ya uzinduzi wa jengo la Dharura Hospitali ya tosamaganga

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *