Tangazo la nafasi za kazi
Download tangazo hapa
Download tangazo hapa
Pichani ni Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Prof.Paschal Rugajo aliye simama kwa niaba ya Waziri wa Afya akiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya Mbio za hisani za kuchangia Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa mahututi Zilizofanyika Tarehe 22/7/2023 Katika hospitali ya Tosamaganga,Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh.Halima Dendego na kulia…
Hospitali ya Tosamaganga inatarajia kuendesha Mbio za Hisani “TOSAMAGANGA MARATHON” kama kampeni kwaajili ya kuchangia umaliziaji wa ujenzi wa jengo la ICU, Mbio hizo zitafanyika Tarehe 22 Julai 2023 nyote mnakaribishwa kuwa sehehemu ya historia Tushiriki Pamoja .
Uongozi wa Hospitali ya Tosamaganga Unawataarifu Wakazi wa mkoa wa Iringa na Watanzania wote kwa ujumla kuwa Kutakua na Ujio wa Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kurekebisha Viungo Kutoka Ujerumani , Watakuepo Hospitali ya Tosamaganga Kuanzia Tarehe 17-27 Mwezi wa 10-2023 Wote Mnakaribishwa kupata Matibabu ya Kibingwa bure.
Uzinduzi wa Tosamaganga Afya cup uliyofanyika tarehe 1/6/2023 katika uwanja wa Msiwasi uliyopo Tosamaganga ,mashindano haya yamedhaminiwa na hospitali ya Tosamaganga yakijumuisha Timu kwa lengo la kuimarisha Michezo na kujenga Afya.
Hafla ya Uzinduzi wa jengo la Idara ya dharula Tosamaganga hospitali lililo zinduliwa na Muhashamu Baba Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa wa jimbo la Iringa iliyofanyika mnano tarehe 12/5/2023.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Tosamaganga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa ili kujaza nafasi zilizo orodheshwa katika tangazo hili.
We deliver quality through deep specialization and innovation. We hire people who share our values, maintain strong relationship and bring idea to the table