SEMINA ILIYO ANDALIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA IRINGA KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA PAMOJA NA WATUMISHI WA KADA ZOTE ZA TARAFA YA KALENGA HALMSHAULI YA WILAYA YA IRINGA KATIKA SEMINA YA MAJADILIANO YA MAMBO YA KIUTUMISHI PAMOJA NA KUSIKILIZA KERO ZINAZO WAKABIRI WATUMISHI NA KUTAFUTA UTATUZI PAMOJA NA KUTOLEA UFAFANUZI.

SEMINA HIYO ILIONGOZWA NA MWENYEKI AMBAYE NI MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA (DED) PIA KWA KUSAIDIANA NA WATENDAJI WAKE KAMA AFISA UTUMISHI WA WILAYA (DHRO), MAAFISA KUTOKA TAASISI MBALI MBALI ZA KISERIKALI KAMA VILE NHIF, PSSSF, TAKUKURU, WCF, DIWANI WA KATA YA KALENGA, PAMOJA NA UWEPO WA UONGOZI WA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

Pichani ni watumishi wa kada mbalimbali kutoka katika Tarafa ya Kalenga Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *