CCM Mkoa wa iringa ikiongozwa na Mwenyekiti yatembelea Hospitali ya rufaa ya Mkoa ya Tosamaganga.


Tosamaganga Regional Referral Hospital inaendelea kutekeleza dhamira yake ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia ujenzi wa Jengo jipya la Mama na Mtoto, mradi mkubwa na wa kimkakati unaolenga kuinua ustawi wa afya ya wanawake na watoto katika mkoa wa Iringa na maeneo jirani. Picha inayoonekana inaonyesha hatua muhimu za ujenzi zinazoendelea kwa kasi,…