Bodi ya Hospitali yazindua magari mapya matatu kwa ajili ya Matumizi ya Hospitali


Hafla ya Uzinduzi wa jengo la Idara ya dharula Tosamaganga hospitali lililo zinduliwa na Muhashamu Baba Askofu Tarcisius J.M. Ngalalekumtwa wa jimbo la Iringa iliyofanyika mnano tarehe 12/5/2023.
Uongozi wa Hospitali ya Tosamaganga Unawataarifu Wakazi wa mkoa wa Iringa na Watanzania wote kwa ujumla kuwa Kutakua na Ujio wa Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kurekebisha Viungo Kutoka Ujerumani , Watakuepo Hospitali ya Tosamaganga Kuanzia Tarehe 17-27 Mwezi wa 10-2023 Wote Mnakaribishwa kupata Matibabu ya Kibingwa bure.