Mabadiliko ya Ratiba juu ya uzinduzi wa Idara ya Mionzi uliotakiwa kufanyika Tarehe 13/02/2024

Pichani ni Mtaalamu wa CT- SCAN Sr. Astrida akitoa maelezo mbele ya kamati ya siasa ya Mkoa wa Iringa Ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kwanza upande wa kushoto Ndugu Daud Yassin akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Halima Dendego wa pili kutoka upande wa kushoto na viongozi wengine walipotembelea Hospitali…
Tosamaganga Regional Referral Hospital inaendelea kutekeleza dhamira yake ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia ujenzi wa Jengo jipya la Mama na Mtoto, mradi mkubwa na wa kimkakati unaolenga kuinua ustawi wa afya ya wanawake na watoto katika mkoa wa Iringa na maeneo jirani. Picha inayoonekana inaonyesha hatua muhimu za ujenzi zinazoendelea kwa kasi,…