Jiwe la msingi lawekwa RRH tayari kwa kuanza ujenzi wa jengo la akina mama.


Pichani ni Mtaalamu wa CT- SCAN Sr. Astrida akitoa maelezo mbele ya kamati ya siasa ya Mkoa wa Iringa Ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kwanza upande wa kushoto Ndugu Daud Yassin akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Halima Dendego wa pili kutoka upande wa kushoto na viongozi wengine walipotembelea Hospitali…
Uongozi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa Tosamaganga, inawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Iringa kwenye kambi kubwa ya bure ya upasuaji wa kurekebisha viungo. Itakayoanza siku ya Juma Tatu Tarehe 16 February hadi Tarehe 28 February mwaka 2025.