Balozi wa Italia Afanya Ziara Tosamaganga Regional Referral Hospital, Aahidi Kuimarisha Ushirikiano
Tosamaganga Regional Referral Hospital (TRRH) imepokea kwa heshima kubwa ziara ya Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mheshimiwa Giuseppe Sean Coppola, aliyefika hospitalini hapo kwa lengo la kujionea huduma za afya zinazotolewa na kuzindua rasmi mradi wa matibabu ya fistula unaotekelezwa kwa ushirikiano na shirika la Doctors with Africa – CUAMM. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Balozi…
