Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa Majaliwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tosamaganga.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezipongeza Taasisi za kidini ikiwemo kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa Wananchi. Waziri mkuu amesema kuwa kitendo cha Kanisa katoliki kufanya maboresho makubwa ya vifaa vya kisasa ikiwemo CT-Scan na huduma za kibingwa ndani ya hospitali, kinaifanya hospitahi ya Tosamaganga kupanda hadhi na kuwa Hospitali ya Rufaa ngazi ya Mkoa lakini pia kunaufanya Mkoa wa iringa Kuwa na Hospitali mbili za Rufaa.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *